GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Popote alipo hivi sasa Mbunge Halima Mdee naomba atambue kuwa kuelekea Kuumaliza huu mwaka wa 2019 basi amekuwa ni ‘ Shujaa ‘ wangu hasa kwa Majibu yake Kuntu / Mujarab kabisa aliyoyatoa kwa Hakimu juu ya Kuulizwa Kwake kuwa ni lini ataoelewa na Yeye ( Mbunge Halima Mdee ) bila ya Kumchelewesha nae akamjibu kuwa Kuolewa Kwake siyo Kipaumbele.
Na Mimi GENTAMYCINE ambaye sasa nimechoka Kuulizwa hili Swali kutoka kwa ‘ Wanafiki ‘ baadhi wa hapa Mtandaoni na huku Uraiani hadi Vijiweni kuwa ni lini ‘ Nitaoa ‘ kwani Umri unaenda hivyo nami sasa napita mule mule alipopita Mbunge Mdee na nawajibu hapa hapa kuwa hata Mimi Kuoa Kwangu siyo Kipaumbele.
Na ole wenu niwasikieni tena mnaniuliza ni lini nitaoa.