MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.