Jibu la Putin baada ya Korea kusini kupeleka silaha Ukraine

Jibu la Putin baada ya Korea kusini kupeleka silaha Ukraine

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine inaingilia. Korea kusini ambayo ndio ilianza imetoa mlio wa uchungu na wivu na kulaani maafikiano hayo ya Putin na Kim 🤣🤣🤣

🇰🇷🇷🇺SOUTH KOREA TO PUTIN: HOW DARE YOU SIGN A BLOOD PACT WITH KIM?!

🇰🇷🇺🇦SOUTH KOREA TO UKRAINE: MAYBE WE SHOULD BE "FRIENDS" LIKE PUTIN AND KIM...

South Korea blasted the new agreement between Russia and North Korea, which pledged mutual defense assistance during wartime.

They are SO pissed Seoul is reportedly reconsidering its policy on supplying arms to Ukraine.

"The agreement poses a threat to South Korea’s security."

We will work with the international community... to take correspondingly stern and decisive measures."

Putin recently thanked South Korea for not supplying weapons to Ukraine, stating, "We highly appreciate that" during the St. Petersburg International Economic Forum.

Source: AP

IMG_20240620_172537.jpg
IMG_20240620_172539.jpg
 
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine inaingilia...
Russia ameshaanza uongo, aliidanganya Armenia kuwa itamlinda ila Azerbaijan waliposhambulia, askari wa Urusi walitulia bila kufanya lolote
 
Russia ameshaanza uongo, aliidanganya Armenia kuwa itamlinda ila Azerbaijan waliposhambulia, askari wa Urusi walitulia bila kufanya lolote
Kuna mikataba inazuia Russia kuishambulia Nchi nyingine yeye ni Peace Keepers pale na alikubaliwa na Nchi zote Armenia na Azerbajain ila mkataba aliosaini na Kim ni wa Kivita zaidi ikiwepo kusaidiana silaha
 
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine inaingilia...
Korea kusini hajapeleka silaha Ukraine. Heading yako inapotosha…

South Koreas ndo anataka kufanya hivyo baada ya makubaliano ya Putin na Kim

Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine inaingilia. Korea kusini ambayo ndio ilianza imetoa mlio wa uchungu na wivu na kulaani maafikiano hayo ya Putin na Kim [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji2406][emoji635]SOUTH KOREA TO PUTIN: HOW DARE YOU SIGN A BLOOD PACT WITH KIM?!

[emoji2406][emoji1255]SOUTH KOREA TO UKRAINE: MAYBE WE SHOULD BE "FRIENDS" LIKE PUTIN AND KIM...

South Korea blasted the new agreement between Russia and North Korea, which pledged mutual defense assistance during wartime.

They are SO pissed Seoul is reportedly reconsidering its policy on supplying arms to Ukraine.

"The agreement poses a threat to South Korea’s security."

We will work with the international community... to take correspondingly stern and decisive measures."

Putin recently thanked South Korea for not supplying weapons to Ukraine, stating, "We highly appreciate that" during the St. Petersburg International Economic Forum.

Source: AP

View attachment 3021549View attachment 3021551
Urusi ni mbwa asiye na meno! Hakuna nchi Duniani ya kupigana na Marekani, Warusi wa Buguruni hawataki ukweli.
Putin anatapatapa tu hana lolote,mara aende Iran kuomba Drones,mara North Korea,muda ukifika utaongea wenyewe!
 
Korea kusini hajapeleka silaha Ukraine. Heading yako inapotosha…

South Koreas ndo anataka kufanya hivyo baada ya makubaliano ya Putin na Kim

Bahati mbaya au nzuri hakuna silaha atakayopeleka itakayoleta maajabu,Kama Abraham's na vifaru vyote vya maana vimepigwa kiberiti,makombora yanatunguliwa,air defense zinamalizwa sijui yeye S/Korea ana silaha gani ya kubadilisha upepo.
 
Russia ameshaanza uongo, aliidanganya Armenia kuwa itamlinda ila Azerbaijan waliposhambulia, askari wa Urusi walitulia bila kufanya lolote
Kwa sababu Azerbaijan akipata usaidizi wa uturuki, na uturuki ni Rafiki WA kimkamkati wa Russia kiuchumi na kuhusiana na vikwazo vya nchi za ulaya. Etc
 
Zimepelekwa silaa lukuki kutoka kila nchi za ulaya,hizo za S.korea ndio zina maajabu gani?
Kila mmoja kajibiwa kwa wakati wake :Israel kashajibiwa anaendelea kuteseka mpaka sasa
:Ujerumani na Nchi za Ulaya zinaumia viwanda vipo chini ya uzalishaji na ajira kupungua baada kukatiwa Gas
:Marekani mabilioni yake ya Dola yameendelea kuteketea bila kusaidia chochote Ukraine zaidi imepoteza ardhi yake..wakati huo huo Russia anazidi kujitanua Duniani Nyambizi zipo Cuba Zingine zipo Atlantic na Pacific ambayo ni Asia Mfaransa kabinywa kende kafurushwa Africa magharibi Mali, Burkina Faso, Niger, Mali, Gabon na Russia wamekaribishwa.
 
Urusi ni mbwa asiye na meno! Hakuna nchi Duniani ya kupigana na Marekani, Warusi wa Buguruni hawataki ukweli.
Putin anatapatapa tu hana lolote,mara aende Iran kuomba Drones,mara North Korea,muda ukifika utaongea wenyewe!
Muda ufike mara ngapi mwambie Biden aende akafate dhana zake za vita ambazo zipo Moscow.
Putin yupo pale anawacheki mzavo bwabwaja maneno matupu bila kuzama mzigoni.
Nyie wamarekani wakwa mtogole nawani USO kumekucha.
 
Bahati mbaya au nzuri hakuna silaha atakayopeleka itakayoleta maajabu,Kama Abraham's na vifaru vyote vya maana vimepigwa kiberiti,makombora yanatunguliwa,air defense zinamalizwa sijui yeye S/Korea ana silaha gani ya kubadilisha upepo.
vyote vimetunguliwa na Urusi kaiteka Ukraine tyr , makofi kwa Urusi na wafuasi wake tafadhari

UJINGA NI KIPAJI
 
Kila mmoja kajibiwa kwa wakati wake :Israel kashajibiwa anaendelea kuteseka mpaka sasa
:Ujerumani na Nchi za Ulaya zinaumia viwanda vipo chini ya uzalishaji na ajira kupungua baada kukatiwa Gas
:Marekani mabilioni yake ya Dola yameendelea kuteketea bila kusaidia chochote Ukraine zaidi imepoteza ardhi yake..wakati huo huo Russia anazidi kujitanua Duniani Nyambizi zipo Cuba Zingine zipo Atlantic na Pacific ambayo ni Asia Mfaransa kabinywa kende kafurushwa Africa magharibi Mali, Burkina Faso, Niger, Mali, Gabon na Russia wameribishwa.
Urusi kashaiteka Ukraine pia
 
Ila mm ntakuwa na iq ndogo hivi unawezaje kuchagua upande wa usa au russia wakati ww huna data ya ukweli wa nguvu zao? Ua mnadhani vita ni mpira
 
Back
Top Bottom