GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa kua ni abiria wote, hiyo sasa ni dharura na suala la ustaarabu itabidi liwekwe pembeni na kwakua kifo cha wengi ni harusi, basi hakuna atakae mshangaa mwenzie. Itabidi hapo hapo ulipo na kwa nafasi iliyopo na mazingira yanayoruhusu mfanye mambo. Kama una mfuko haya, kama kwenye floor haya, kama juu ya kiti haya. Ustaarabu utafuata mkiatua salama, hapo itabidi mpiganie uhai kwanza.
Jibu rahisi ni kama wote basi hata mkijinyea akuna shida sababu wote mnashida hiyo akuna wa kumcheka mwenzie
Ingekuwa ni Wewe ungeweza Kulifanya hilo?
kama hali ni mbaya sana nachukua begi natoa nguo zote nakunya humo nasubiria foleni ikiiisha naenda kumwaga...maaana ndege nzima itakua mavi tuu maana hata atakayejinyea hatachekwa na hata kama akichekwa sio mwisho wa duniaMmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.
Karibuni.
hahahaha yaani nikivuta picha jinsi itakavokua aiseee daah mungu aepushe mbali,,,,seam kuna mafala baada ya tukio wataanza hivi mliona fulani alivofanyaKwa kua ni abiria wote, hiyo sasa ni dharura na suala la ustaarabu itabidi liwekwe pembeni na kwakua kifo cha wengi ni harusi, basi hakuna atakae mshangaa mwenzie. Itabidi hapo hapo ulipo na kwa nafasi iliyopo na mazingira yanayoruhusu mfanye mambo. Kama una mfuko haya, kama kwenye floor haya, kama juu ya kiti haya. Ustaarabu utafuata mkiatua salama, hapo itabidi mpiganie uhai kwanza.
Mmepanda Ndege yenye Uwezo wa Kubeba Abiria 270 na mara ghafla mpo Angani tena umbali wa Futi nyingi za Usawa wa Bahari halafu Abiria mkaanza Kushikwa na Matumbo ya Kuhara ambayo ni lazima tu yatakufanya ukitafute Choo kilipo na Wote tunajua katika Ndege kuna Choo Kimoja tu je ikitokea Abiria wote mmeshikwa na Haja Suluhisho humo litakuwaje? Na kumbukeni kuna wengine wakishikwa na Haja ( tendo la Kunya / Kuharisha ) huwa wanachukua hata dakika 15 hadi 45 kumaliza.
Karibuni.