Jichagulie kiwanja hapa, wahi vimebaki vinne TU

JosephNyaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
291
Reaction score
232
Viwanja hivi vyote viko Amani Gomvu kwenye kona ya kwenda Amani Beach Kigamboni Kilomita 26 kutoka Kivukoni/Feri. Kila Plot ni Square mita 1100 na kila Square mita 1 ni Tsh 8000/= Gharama hiyo inajumuisha gharama zote ambazo tayari ziko kwenye process mpaka kupata Title deed yako. Piga simu 0776 278401 sasa kwa maelezo ya kina.
 
mimi nataka sq.m 30 tu niweke chumba changu kimoja.. napata?
 

Maeneo ya huko hayasumbui kupata "fresh water" baada ya kuchimba kisima , maana eneo lenye "fresh water" lina raha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…