Jicho halina pazia.

mmmmh hiyo ni style ya kusimama au ndio alivyo???mbinuko gani huo mtu anakua kama namba 2.....atakua mlemavu akilala lazima aweke mto mgongoni kusupport mwili vinginevyo kiuno kitamuuma sana........
 
usafiri huo, wala hauhitaji safety belt! tehteh teh teh
 



Kula beer kamata bibi mshike mshike enzi za Mdundiko .Masatula Ngoma ya mpwita vitu hivyo,Mpo ?hatumwi mtoto Dukani hapo.

Yakichina hii,
Je ya ndani nayo inabadilika!!!!
 
Hii kitu original au mchina maana lol hicho kibinda si n'chezo.
 
Hii imevalishwa tu, wala sio umbo lake!!! Kazi ya wachina hiyo. Siku hizi zinauzwa kibao kariakoo!!!
 
Hapo unakaa kabisa ukienda naye bar anakuwa meza mkisimama ukichoka kushika kinywaji unaweka hapo
 
Hapo unakaa kabisa ukienda naye bar anakuwa meza mkisimama ukichoka kushika kinywaji unaweka hapo

Mtoto kama huyo ukiingia nae bar bia zinagoma kwenda kwenye midomo..vinginevyo utaishia kujimwagia bia kwenye sarawili ...lazima mimacho pima ikutoke..
 
shuzi lipo ukifanya mzaha utacheukia nje kabla hujapiga hodi.
 
si mchezo du!kazi kwenu kina baba mshindwe wenyewe kifaa hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…