Jicho la kurembua

Jicho la kurembua

bigmen

Senior Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
147
Reaction score
325
Hii kitu ilinikuta kweli jamani...

Sehemu ninayo fanya kazi aliletwa binti mumoja kuja kufanya kazi, kiukweli sio siri nilimuelewa sana kiasikwamba kuna siku alipatwa na tatizo na njia pekee ya kutatua tatizo lake ni kwa njia ya pesa tuu, mwanaume nikaamua kwenda bank na kudroo kiasi cha 50000 za kitanzania ila kabla sijampa niliamua kumwaga sera, kweli bibie alinielewa akakubali kunipa penzi lake basi bwana tukiwa chumbani mambo yakawa si mambo.

Katika kumshika shika hapa na pale mara bibie akaamua kurembua, mapigo ya moyo yalienda spidi nikapata presha ya kushuka na kupanda kwa mpigo maana bibie aligeuza macho adi gololi nyeusi ya jicho ikapotea macho yakabaki meupe kama jini wa kwenye movie la kinaijeria na sura ikabadilika kama fuso ilopata ajali ... kiukweli hela yangu ilirudi bank kama ilivyo.

Nashauri wadada sio kila jicho la kurembua mengine macho ya baba zenu.. jifunzeni kwanza kwa kupitia kioo ujione ndo uje umrembulie mwanaume.. 😂
 
Ukachukua hela yako ukasepa.... labda kama mkuyenge ulikuwa hujdnda.
 
Lako dogo mkuu kuna jirani hapa alikula denda na mtoto mkali ile kufumba kufumbua katoka na meno ya bandia ya mtoto ukabaki upengo huo wa maana!.. ati demu akamwambia mshikaji "Nipe meno yangu thatha"😂😅
 
Changamoto
Nikifanikiwa Jambo 😀😁😅😄
 
Lako dogo mkuu kuna jirani hapa alikula denda na mtoto mkali ile kufumba kufumbua katoka na meno ya bandia ya mtoto ukabaki upengo huo wa maana!.. ati demu akamwambia mshikaji "Nipe meno yangu thatha"😂😅
😂😂😂 hiyo ni balaa kama balaa... eti nipe meno yangu thatha..😆😆
 
Back
Top Bottom