sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Nanukuu.. "Naambiwa pale TFF hawazungumzi lugha moja, Martin Nooij anazungumza na watu wawili tu katka ofisi nzima nao ni, Jamal Malinzi na mshauri wake wa masuala ya kiufundi, Peleginius Rutayuga, wengine wote anawaona takataka"
Anaendelea.. "Ni kocha huyu huyu ambaye huwachukia, huwadharau wazi wazi, hana muda kabisa pia hapendi kuongea na waandishi wa habari. Ana majivuno. Anajisikia. Kwake kuna wanadamu wawili tu nchini, Malinzi na Rutayuga."
Source: Edo Kumwembe
NOTE:
Kama katika ofisi nzima inayomuweka mjini, anawasikiliza watu wawili tu.. sisi hata tukiongea vipi, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Nadhani ni muda muafaka wa Jamal Malinzi akae na mshikaji wake [Martin Nooij] na kumueleza ukweli kua atuachie timu yetu. Jamal Malinzi mda bora wa kumuua nyani huku unamuangalia machoni ndio huu.. Najua umenielewa.. Kila la heri Braza.

Last edited by a moderator: