Jicho La Mwewe: Navyomfahamu Martin Nooij.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Nanukuu.. "Naambiwa pale TFF hawazungumzi lugha moja, Martin Nooij anazungumza na watu wawili tu katka ofisi nzima nao ni, Jamal Malinzi na mshauri wake wa masuala ya kiufundi, Peleginius Rutayuga, wengine wote anawaona takataka"

Anaendelea.. "Ni kocha huyu huyu ambaye huwachukia, huwadharau wazi wazi, hana muda kabisa pia hapendi kuongea na waandishi wa habari. Ana majivuno. Anajisikia. Kwake kuna wanadamu wawili tu nchini, Malinzi na Rutayuga."

Source: Edo Kumwembe

NOTE:
Kama katika ofisi nzima inayomuweka mjini, anawasikiliza watu wawili tu.. sisi hata tukiongea vipi, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Nadhani ni muda muafaka wa Jamal Malinzi akae na mshikaji wake [Martin Nooij] na kumueleza ukweli kua atuachie timu yetu. Jamal Malinzi mda bora wa kumuua nyani huku unamuangalia machoni ndio huu.. Najua umenielewa.. Kila la heri Braza.
 
Last edited by a moderator:
Akimuacha tunamuachia yy na timu yake, hawez Kocha wa timu yetu ya taifa
 
Hivi hakuna namna ya kuuvunja uongozi wote pale TFF? otherwise soka letu bongo linaenda kufa ...Ligi kuu inaanza few montths to come sasa kwa madudu ya ligi iliyopita hii nadhani itakuwa more worse!!!Please Jamal Malinzi vunja uongozi wote na usuke upya au jiuzuru kwa manufaa ya soka letu. AMEN
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wenye mamlaka ya kumuondoa madarakani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa. Kama unakumbuka katika mkutano mkuu uliofanyika miezi michache iliyopita.. kuna wajumbe walikua na munkari kweli wa kuhoji matumizi mabaya ya fedha pale TFF.. walipoingia tu ukumbini walinywea kama si wao walio kua wakilalama.. hivyo kumuacha "kaka mkubwa" Malinzi akitamba atakavyo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii timu alichagua/aliteua yeye?
Wachezaji wengi wa Azam, kiwango chao duni kabisa, lakini maajabu kawajaza, why???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…