Wasira ni mbabe, dictator of some kind....mama anadhani anaweza kuwa na ka umagufuli kwa mbali dhidi ya wengine. Wasira is not diplomatic. Nafikiri hivyo...atapambana na Lisu and the like. Short of that Wasira hana cha zaidiKwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa.....
CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza wakati akitafuta msaidizi....
Kuna siri kubwa sana sana π yakuwa wapo walio itwa ila hawakuitika na ndipo wakaja na Wasira.
Nijambo jema ila sio ishara nzuri ni swala la muda nani ata anzisha na nani atamalizia. Tough time a head of us... open your eyes
Nani aliyekataa.acheni uzushi wenu.Wapo waliokataa
Nani aliyekataa.acheni uzushi wenu.
Uteuzi wa nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.kwank ulisikia wapi nimetuma maombi ya kuomba uteuziMbona povu lote hilo pole kwa kukosa uteuzi
Uteuzi wa nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.kwank ulisikia wapi nimetuma maombi ya kuomba uteuzi
ndio pinda na makinda wale kichwani zimo...imemdondokea mzee lopolopo TysonWapo waliokataa
..inasaidiaje wakati wao ndio mwenyekiti na wakati huo huo ndio katibu wa ccm, they r the one driving the party.Siku hizi TISS inasaidia vetting za CCm
..deadwood!Kwanini ni Wasira tena? Nadhani mnajuwa maana yakuchaguliwa mtu alie kula chumvi mingi kati kati ya familia yenye kila aina ya vipawa.....
CCM patachimbika ila kuna mzee wakuwapooza na kuwaelekeza wakati akitafuta msaidizi....
Kuna siri kubwa sana sana π yakuwa wapo walio itwa ila hawakuitika na ndipo wakaja na Wasira.
Nijambo jema ila sio ishara nzuri ni swala la muda nani ata anzisha na nani atamalizia. Tough time a head of us... open your eyes
ukiona mambo hayaendi ongea au kaa na wazee..alisikika mtu mmoja akisema maeneo ya huku kwetu.TUKUMBUKE: Wakati wa awamu ya nne, Mzee Wasira aliteuliwa kuwa Waziri wa nchi Ofisi ya Rais akishughulikia mahusiano na uratibu; hiii ilikuwa mwaka 2010. Nafasi ya sasa ya Makamu Mweyekiti ni muhimu katika kujenga mahusiano na maridhiano katika jamii. Kwamba, wakati Mwenyekiti akielekeza nguvu nyingi serikalini, Makamu wake katika chama ndiye anayefanya kazi zake. Lakini pia tumeona style ya Rais Samia kupenda kufanya kazi na wakongwe katika siasa na serikali. Kule Ikulu yupo Mzee Mkuchika na sasa katika Chama yupo Mzee Wasira.
KAZI IENDELEE.....