third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
THE REAL EYE REALIZE
(Jicho la kweli hutambua)
π"Eye is the window to the soul"
π"The light of the body is the Eye."
"Eye is the window to the soul" kwa tafsiri ya kiswahili ni "Jicho ni dirisha kuelekea kwenye roho", Huu ni msemo maarufu uliosemwa na mtaalamu wa zaburi/Psalm 46, si mwingine bali ni William Shakespeare, lakini pia msemo huo ni maarufu kwenye shule za afya (medical school) haswa wafikapo kwenye maada kuhusu macho (Ophthalmology)
Msemo huo wa w.shakespeare hauna tofauti sana kimaana na msemo kutoka kwenye mafundisho ya kidini ya biblia usemao "Taa ya mwili ni JICHO"
Mathayo 6:22:
"Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote utakuwa na nuru."
Watu wengi wameshindwa kuwa na maana sahihi juu ya msemo huo na kuishia kupata maana zisizo na maana ukilinganisha na maana ya kweli ya msemo, "Jicho ni dirisha la roho/Eye is the window to the soul"
Pia watu wa dini wamekua wakitafsiri tofauti maandiko hayo na kuiacha tafsiri sahihi ya andiko, "Taa ya mwili ni Jicho."
Kama bado hujaelewa, ebu jiulize kwa nini misemo/maandiko hayo mawili hayajatumia neno "MACHO" na kuamua kutumia neno "JICHO" ili hali mtu/mwanadamu ana macho mawili?
kwa nini Mathayo asiseme, Macho ni taa ya mwili
Au kwa nini bwana William Shakespeare hakuseme macho ni dirisha la kwenda rohoni na kuamua kutumia neno JICHO?
Hakika hauwezi kupata majibu hayo kwa sababu mfumo unaoongoza ulimwengu umeyafanya SIRI mafundisho yote yanayokupa maarifa juu ya ukuu wako ili kuwasaidia kuutawala ulimwengu, ulimwenguni kote hasa ndani ya africa Dini imekuwa nguzo muhumu kwa watawala nje ya uwepo wa nguzo nyingi, hata katika historia tuliona namna dini ilivyowarahisishia mabeberu kutawala mababu zetu.
Jicho linaloongelewa hapo ni Jicho la tatu, maarifa kuhusu jicho la tatu yalikuwepo tangu zamani lakini kwa kizazi chetu yamefanywa yaonekane ni ushetani ili kuzidi kukuweka mbali na ukweli.
Vitu vingi hupewa majina kutokana na sababu maalumu nyuma ya hicho kitu, mfani jina TANZANIA halikutoka tu hewani bali lina maana yake.
Kabla sijakueleza maana ya jicho la tatu, inakupasa utambue kwa nini liitwe jicho la tatu.
Kwenye mafundisho mengi, Jicho la tatu linachukuliwa kama ni jicho la ulimwengu wa roho lakini katika uhalisia jicho la tatu ni tezi ya paini (PINEAL GLAND) inayopatikana kwenye ubongo.
[Paini tunda la mti wa mpaini,tangu zamani, kwenye uwanja wa mafundisho ya siri paini huwakilisha jicho la tatu la tatu, na ndo maana kule vatican kuna sanamu kubwa la paini/Msonobari.]
Jamii nyingi zilipokea maarifa kutoka kwa miungu.
Miungu walikua na mfanano na sisi wanadamu(waliitwa Anunnaki), walitokea nje ya sayari yetu, waliishi hapa duniani kwa makusudi yao maalumu, na baada ya makusudi yao kuisha waliondoka na kutuachia maarifa mbalimbali yakiwemo maarifa kuhusu sisi(), majengo ya kushangaza ambayo bado hata sasa teknologia yetu haijayapatia ufunguzi, pia waliacha vizazi vya wanadamu vyenye vinasaba vyao kwa ajili ya kuendeleza utawala wao, na ndio hao walioishika dunia
Kwa kuwa maarifa mengi yalikuwa makubwa kuzidi ufahamu wa jamii nyingi baada ya miungu kuondoka, iliwafanya wapokee maarifa hayo katika mfumo wa kuamini na ndio maana mafundisho mafundisho mengi kuhusu jicho la tatu yapo katika mfumo wa kiimani, na inaaminika kwamba ni jicho la ulimwengu wa kiroho.
Tezi la paini/ msonobari lilichukuliwa kama Jicho la tatu kwa sababu ya kazi yake ya msingi ya kupitisha kiwango fulani cha mwanga (-kama yafanyavyo macho yako mawili -) kwa sababu ya uwepo wa vipokea mwanga(photo receptors) vya seli za rod na seli za cone ambavyo pia vipo kwenye macho mawili ya nje.
Pia tezi paini(pineal gland) huitwa jicho la tatu kwa sababu lina aina ya seli (-ziitwazo suprachiasmatic nucleus (SCN)-) zinazo sensi mwanga zenye jukumu la kuiongoza "Saa ya mwili" [Biological clock/Circadian cycle]
Mzunguko wa Saa ya Mwili( circadian cycle) ni mabadiliko ya utendaji kazi wa kimwili, kiakili, na kitabia yanayotokea kwa binadamu na baadhi ya viumbe hai pale panapotokea mabadiliko ya mwanga yaani usiku na mchana.
Sasa ifikapo jioni tezi penueli huzalisha "melatonin" ambazo husaidia katika Usingizi. Saa ya mwili haihusiki na uratibu wa Usingizi pekee pia huhusika na shughuli kama hamu ya kula, kupanda na kushuka kwa hali joto la mwili, uzalishaji wa homoni mbalimbali( ndo maana marijali waamkapo alfajili hukuta jogoo anawika balaa)
Jicho la tatu lilipewa sifa za kuweza kuona mambo ya rohoni kwa sababu ya kemikali inazozalisha, pineal gland huzalisha homoni za DMT ambazo humwezesha mtu kupata ndoto,maono na "near to death experience"
Sasa umeanza kuelewa maana ya msemo "Jicho ni dirisha kuelekea kwenye roho" au "Taa ya mwili ni jicho."
πππππππππππ