Pole mkuu hii huwezekana ni allergy jaribu kuchunguza ni wakati gani unapata zaidi hiyo hali. Mara nyingi ni pale unapokuwa exposed to triggers za allergy. Ukishajua unaweza kuepuka hivyo visababishi .
Pole sana mkuu, naamini wataalamu watakushauri nini cha kufanya ila ili kuwapa wepesi zaidi, ni vyema ukatoa historia kidogo tatizo limekuanza lini na hali hiyo huchukua muda gani hadi hali inaporejea kuwa kawaida.