Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mbele kwa mbeleJicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini.
Kwa jumla ziara hiyo aliyoifanya katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Iringa ilikuwa nzuri. Kwa kuwa alipata fursa ya kusikiliza na kujionea moja kwa moja kero za wananchi na kuzitolea maagizo ya kuzitafutia ufumbuzi. Pia mapokezi ya wananchi yalikuwa makubwa sana. Hongera sana mh Rais na uandae ziara katika mikoa mingine.
Pamoja na mafanikio hayo lakini nilibaini dosari moja nayo ni kwa mtoto wa mh Rais aitwaye Abdul na timu yake kufuatana na msafara wa mh Rais huku akipiga picha kwa kutumia ndege zisizokuwa na rubani. Hili halipo sawa kwa kuwa hilo ni jukumu la kurugenzi ya mawasiliano ikulu pamoja na vyombo vingine vya habari.
Huyo mtoto wa Rais ana jukumu Gani huko Ikulu na Serikalini?Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini.