daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
jaman hii si mara ya kwanza..miaka miwili iliyopita uvimbe ulikaa mda mref nikafanyiwa minor operation ya kuutoa...sasa naona jicho la upande mwingine limevimba kwa juu..na linauma sana hadi nikiinama..sijui tatizo ni nini..msaada