daisyvicky JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 343 Reaction score 198 Apr 18, 2013 #1 jaman hii si mara ya kwanza..miaka miwili iliyopita uvimbe ulikaa mda mref nikafanyiwa minor operation ya kuutoa...sasa naona jicho la upande mwingine limevimba kwa juu..na linauma sana hadi nikiinama..sijui tatizo ni nini..msaada
jaman hii si mara ya kwanza..miaka miwili iliyopita uvimbe ulikaa mda mref nikafanyiwa minor operation ya kuutoa...sasa naona jicho la upande mwingine limevimba kwa juu..na linauma sana hadi nikiinama..sijui tatizo ni nini..msaada