Jicho langu moja linauma.

Jicho langu moja linauma.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja eti unaweza ukawa ni huu ugonjwa mpya wa red eyes.
 
Mi nina tatizo hilo limeanza miezi mitatu iliyopita nilipewa dawa haikufaa nikabadilishiwa lens mara mbili haijafaa sasa hivi halioni linaona mawìngu nimeambiwa nimsubiri doctor week ile baada ya kesho hatma yake hata sielewi we wahi hospital ukacheck
 
hapo nadhani ni inflamation ya macho jaribu kuchukua kipande cha tango uweke kwny jicho lnalouma ikishndikana jaribu eyedrops za visine
 
Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja eti unaweza ukawa ni huu ugonjwa mpya wa red eyes.
Na mm limenianza jicho la upande wa kulia ghafla kuniuma sisajua shida ni nn
 
Back
Top Bottom