Habari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja eti unaweza ukawa ni huu ugonjwa mpya wa red eyes.
Na mm limenianza jicho la upande wa kulia ghafla kuniuma sisajua shida ni nnHabari wana jf doctor.leo nimepatwa na ugonjwa wa kuumwa na jicho moja la kushoto maumivu ni makali sana inasemekana ugonjwa wa kawaida wa macho huwa lazima yaugue yote lakini kama ni jicho moja eti unaweza ukawa ni huu ugonjwa mpya wa red eyes.