Jicho langu moja ni jekundu!!

Jicho langu moja ni jekundu!!

benny boy

Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
41
Reaction score
69
Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Jicho langu moja la kulia ni jekundu sana na ni muda mrefu tangu mwaka 2019.chanzo ni kwamba niliingiliwa na mdudu ambapo nilijisikia maumivu sana nimetumia dawa za kila aina nilizoelekezwa lakini wapi naombeni msaada wenu wadau [emoji120]
 
Habari!
Ni vyema kufika kwa daktari anaehusika na tiba ya macho ili:

1: Kuangalia kama kuna madhira yaliyosababishwa na kemikali aliyotoa mdudu.

2: Kama yaliyofanyika baada ya mdudu kuingia, yameleta madhara kwenye jicho (mfano: kufikicha).

3: Dawa ulizotumia zimeleta madhara kwenye jicho.

NB: Usitumie dawa kwa kuwa tu ni ya kutumia/kutibu macho. Nyingine zinahitaji hutumiwa kwa muda mfupi tu au zisitimike kwenye mazingira fulani.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom