Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Jana nilibahatika kuangalia Citizen ya Kenya kwenye kipindi cha Jicho pevu, nilioyaona na kuyasikia yaliniacha mdomo wazi. Hivi ni kweli usalama wa Kenya wanaweza kufanya mabaya kama yake kwa Raia wake wasio hatia?
Kwa kweli nimejiuliza mengi. Je, vipindi kama vile kuruhusiwa kuoneshwa haihatarishi usalama wa nchi na kuweka hatarini maisha ya baadhi ya watu?
Kwanini Serikali inaruhusu vipindi kama vile virushwe moja kwa moja?