Jidanganyeni tu kuwa eti leo Algeria watapanga Kikosi dhaifu dhidi ya Makonda CCM FC huko AFCON 2019 Misri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Watanzania bhana yaani kila ukipita pamoja na Wachambuzi wenu Uchwara utasikia kuwa eti leo Taifa Stars a.k.a Makonda CCM FC huko Misri itaifunga Algeria na Kusubiria Best Loser ambapo Tanzania inaweza Kupita. Yaani hamna hata Aibu kwa jinsi mnavyoota mchana Kweupe kabisa huku mkijipa Moyo Kipuuzi kabisa wakati mnajua fika kuwa Mpira ni Mchezo wa Sayansi ambayo bahati mbaya ndani ya TFF na Taifa Stars hakuna Sayansi bali kuna Uswahili mtupu.

Kama jana Misri ( Wenyeji ) ambao walikuwa tayari wameshafuzu 16 ila walicheza Full Mkoko dhidi ya Uganda ndiyo mnadhani leo Algeria nao watakuja Kizembe Kizembe na wawapangieni Kikosi dhaifu? Leo tunapigwa Goli za Kutosha tu na hivi Manula na Nyoni ni Wagonjwa huku Kelvin Yondan, Hassan Kessy na David Mwantika hawachezi kwakuwa wana Kadi za Njano ndiyo tutajuta kwanini tumeenda Kushiriki AFCON na kwanini TFF imejikabidhisha rasmi kwa Mkuu wa Mkoa Makonda na CCM yake.

Naomba Mungu na leo pia Mbweha wa Jangwani ( Desert Fox ) Timu ya Taifa ya Algeria kama walivyonipa Furaha Senegal na Kenya kwa Kutufunga Tanzania basi nawaomba na Wao leo watufunge Tanzania na tena si kwa idadi ndogo ya Mabao ( Magoli ) bali yawe ni mengi sana ili tukome, tujifunze na tushike Adabu.

Bado nasisitiza kuwa nitarejea Kuishangilia Taifa Stars pale tu Kocha Emanuel Amunike atafukuzwa rasmi , Makonda akiondolewa katika Kamati kwani anaharibu, anamuingilia Kocha na anaendekeza Siasa ndani ya Timu na pia Wachezaji wangu Vipenzi ambao nina uhakika Mapengo yao yameonekana katika Kikosi Jonas Mkudena Ibrahim Ajib wataitwa Kikosini. Basi sijaona Kiungo bora wa Ukabaji nchini Tanzania kwa sasa kama Mkude na pia bado sijaona Kiungo mchezeshaji na mwenye Vitu vingi ( Udambwi Dambwi ) kama Ibrahim Ajib na nina uhakika kwa jinsi alivyo Nahodha wetu Mbwana Samatta basi nyuma yake angekuwepo Ajib huenda Samatta hadi sasa angekuwa anaongoza na Ufungaji wa Magoli.

Natanguliza pongezi zangu za dhati kabisa za awali kwa Timu ya Taifa ya Algeria ili leo watufunge vizuri na Kikatili.
 
Hahah kwa hiyo Ali sonso ndio atasimama kama Kitasa Leo
Naona zile saba zikijirudia

Kiongozi nadhani hata hizi Goli Saba ni ndogo bali naziona kati ya Goli 9 au 13 leo pale 30th June Stadium. Na hivi leo Golini Kwetu yupo Kipa Metacha Mnata tutajuta kwanini tumeshirikia AFCON 2019 huko nchini Misri.
 
Metacha sio mbaya sana ili tusifungwe goli nyingi wacheze km tulivyocheza na misri la sivyo itakuwa dhahama
Kiongozi nadhani hata hizi Goli Saba ni ndogo bali naziona kati ya Goli 9 au 13 leo pale 30th June Stadium. Na hivi leo Golini Kwetu yupo Kipa Metacha Mnata tutajuta kwanini tumeshirikia AFCON 2019 huko nchini Misri.
 
Mkuu mbona umeanza kunipa wasiwasi, kwamba manula,nyoni na yondani awachezi? Duh!! namimi sasa naanza kuziona goli kumi kabisa.
 
Mimi naona hizo Goli 10 ulizosema hapa ni ndogo lakini ukiniambia kuwa leo tunaenda Kufungwa Goli 13 au 17 nitakubaliana nawe.
 
Kiongozi nadhani hata hizi Goli Saba ni ndogo bali naziona kati ya Goli 9 au 13 leo pale 30th June Stadium. Na hivi leo Golini Kwetu yupo Kipa Metacha Mnata tutajuta kwanini tumeshirikia AFCON 2019 huko nchini Misri.
Kiukweli mm ukiniambia tz imeshiriki afcon 2019 nitakataa katu katu, tunadanganywa hvyo ila kiuhalisia endapo ze krens wangekuwa hawajafuzu wangepiga hii kabumbu yao tunayoiona sasa pale taifa na tz afcon tungeendelea kuisikia tu. So in reality hatujafuzu afcon bado.
 
Algeria watapumzisha key players wao na watakaopangwa watakuwa ni invisible players yani hawajulikani wanacheza kwa namna gani hiki ndicho kitakuwa kiama.

Kwa sababu watakuwa na njaa ya kufanya maajabu na kujizolea ujiko.
Unajua mechi kama hizi ndio maTop score hutokea mnapigwa sita mtu anaondoka na goli zake nne hakuna wakumfikia hadi mashindano yanaisha
 
Kwetu pashaeleweka.... Nawaonea huruma kenya...
Senegal yuko danger zone alafu kajeruhiwa.

Aaaah aaah aah ana kazi saaana leo.. Krepin diata.. Ndiaye... Aaah aaah kazi kweli kweli
 
Watanzania bhana yaani kila ukipita pamoja na Wachambuzi wenu Uchwara utasikia kuwa eti leo Taifa Stars a.k.a Makonda CCM FC huko Misri itaifunga Algeria na Kusubiria Best Loser ambapo Tanzania inaweza Kupita. Yaani hamna hata Aibu kwa jinsi mnavyoota mchana Kweupe kabisa huku mkijipa Moyo Kipuuzi kabisa wakati mnajua fika kuwa Mpira ni Mchezo wa Sayansi ambayo bahati mbaya ndani ya TFF na Taifa Stars hakuna Sayansi bali kuna Uswahili mtupu.

Kama jana Misri ( Wenyeji ) ambao walikuwa tayari wameshafuzu 16 ila walicheza Full Mkoko dhidi ya Uganda ndiyo mnadhani leo Algeria nao watakuja Kizembe Kizembe na wawapangieni Kikosi dhaifu? Leo tunapigwa Goli za Kutosha tu na hivi Manula na Nyoni ni Wagonjwa huku Kelvin Yondan, Hassan Kessy na David Mwantika hawachezi kwakuwa wana Kadi za Njano ndiyo tutajuta kwanini tumeenda Kushiriki AFCON na kwanini TFF imejikabidhisha rasmi kwa Mkuu wa Mkoa Makonda na CCM yake.

Naomba Mungu na leo pia Mbweha wa Jangwani ( Desert Fox ) Timu ya Taifa ya Algeria kama walivyonipa Furaha Senegal na Kenya kwa Kutufunga Tanzania basi nawaomba na Wao leo watufunge Tanzania na tena si kwa idadi ndogo ya Mabao ( Magoli ) bali yawe ni mengi sana ili tukome, tujifunze na tushike Adabu.

Bado nasisitiza kuwa nitarejea Kuishangilia Taifa Stars pale tu Kocha Emanuel Amunike atafukuzwa rasmi , Makonda akiondolewa katika Kamati kwani anaharibu, anamuingilia Kocha na anaendekeza Siasa ndani ya Timu na pia Wachezaji wangu Vipenzi ambao nina uhakika Mapengo yao yameonekana katika Kikosi Jonas Mkudena Ibrahim Ajib wataitwa Kikosini. Basi sijaona Kiungo bora wa Ukabaji nchini Tanzania kwa sasa kama Mkude na pia bado sijaona Kiungo mchezeshaji na mwenye Vitu vingi ( Udambwi Dambwi ) kama Ibrahim Ajib na nina uhakika kwa jinsi alivyo Nahodha wetu Mbwana Samatta basi nyuma yake angekuwepo Ajib huenda Samatta hadi sasa angekuwa anaongoza na Ufungaji wa Magoli.

Natanguliza pongezi zangu za dhati kabisa za awali kwa Timu ya Taifa ya Algeria ili leo watufunge vizuri na Kikatili.
Wewe mzururaji unaleta usimba wako na uyanga wako mkude anampira gani?

Unafikiri pale kuna ndanda au mbeya city ?
 
Bado hamjanishawishi kuharibu mkeka wangu kijinga. Nawaombea washinde ila sichezei mkeka wangu. Nimewachinja snaa tu.
 
Watanzania bhana yaani kila ukipita pamoja na Wachambuzi wenu Uchwara utasikia kuwa eti leo Taifa Stars a.k.a Makonda CCM FC huko Misri itaifunga Algeria na Kusubiria Best Loser ambapo Tanzania inaweza Kupita. Yaani hamna hata Aibu kwa jinsi mnavyoota mchana Kweupe kabisa huku mkijipa Moyo Kipuuzi kabisa wakati mnajua fika kuwa Mpira ni Mchezo wa Sayansi ambayo bahati mbaya ndani ya TFF na Taifa Stars hakuna Sayansi bali kuna Uswahili mtupu.

Kama jana Misri ( Wenyeji ) ambao walikuwa tayari wameshafuzu 16 ila walicheza Full Mkoko dhidi ya Uganda ndiyo mnadhani leo Algeria nao watakuja Kizembe Kizembe na wawapangieni Kikosi dhaifu? Leo tunapigwa Goli za Kutosha tu na hivi Manula na Nyoni ni Wagonjwa huku Kelvin Yondan, Hassan Kessy na David Mwantika hawachezi kwakuwa wana Kadi za Njano ndiyo tutajuta kwanini tumeenda Kushiriki AFCON na kwanini TFF imejikabidhisha rasmi kwa Mkuu wa Mkoa Makonda na CCM yake.

Naomba Mungu na leo pia Mbweha wa Jangwani ( Desert Fox ) Timu ya Taifa ya Algeria kama walivyonipa Furaha Senegal na Kenya kwa Kutufunga Tanzania basi nawaomba na Wao leo watufunge Tanzania na tena si kwa idadi ndogo ya Mabao ( Magoli ) bali yawe ni mengi sana ili tukome, tujifunze na tushike Adabu.

Bado nasisitiza kuwa nitarejea Kuishangilia Taifa Stars pale tu Kocha Emanuel Amunike atafukuzwa rasmi , Makonda akiondolewa katika Kamati kwani anaharibu, anamuingilia Kocha na anaendekeza Siasa ndani ya Timu na pia Wachezaji wangu Vipenzi ambao nina uhakika Mapengo yao yameonekana katika Kikosi Jonas Mkudena Ibrahim Ajib wataitwa Kikosini. Basi sijaona Kiungo bora wa Ukabaji nchini Tanzania kwa sasa kama Mkude na pia bado sijaona Kiungo mchezeshaji na mwenye Vitu vingi ( Udambwi Dambwi ) kama Ibrahim Ajib na nina uhakika kwa jinsi alivyo Nahodha wetu Mbwana Samatta basi nyuma yake angekuwepo Ajib huenda Samatta hadi sasa angekuwa anaongoza na Ufungaji wa Magoli.

Natanguliza pongezi zangu za dhati kabisa za awali kwa Timu ya Taifa ya Algeria ili leo watufunge vizuri na Kikatili.
Ili TZ iwe best looser lazima kumfunga Algeria 6-0. YES it is possible
 
Back
Top Bottom