Hiyo shoo nilikuwepo vipi wewe hukuwepo????
Uamuzi wako kama unapata furaha vizuri.
Ila kwa maneno ya watu Diamond ndio alikuwa wakukimbia jiji maana yake yeye zaidi ya wasanii wote kufatiliwa na kuongeleqa uongo mwingi.
Jitahidi uwe na ugumu kama hautaki ya wananchi basi acha kuimba fanya mengine. Ila kama weye msanii na unataka ya wananchi kukusapoti haya funga mkanda kwa nguvu zako zote kuwa mgumu.
Umesema kweli mzurimie kama kusemwa ndio ukimbie basi DIAMOND tungeshamsahau kabisa lakini yule kweli ni simba ana roho ngumu haswa na yupo anazidi kupambana.
Sasa si ndo atazidi kuzeeka kwa stress yule bibi? Aimbe tena wanaume kama mabinti auze..dhambi ya upuuzi wake inamtafuna sasa..na bado
Mimi binafsi sijaona wa kumtukuza zaidi yake yeye.Na nyie Bwana, kila mtu lazima mumfananishe na Diamond?? Mnamtukuza mno du
Siamini kuwa Jide amefulia. Maskini Jide Love u my queen. Ruge mtu mbaya sana kaziba njia zako zote shetani mkubwa yule. Ungerudiana na G jamani ndio alikuwa nguzo yako usingefikia huku.
Kwanza DIAMOND anajua uwepo wangu ila wewe ndio ujui uwepo wangu kwake,pili kwa nini usijihurumie wewe unayejishughulisha na mimi.Tatu ukitaka kujua ni jinsi gani ninamtukuza mungu iongelee vibaya imani yangu ndio utajua jinsi ninavyomtukuza,ila hapa ni celebriety forums na ninamsifia/kumtukuza msanii ninayempenda na hata kungekuwa na neno lingine lililolizidi ili la kutukuza ningelitumia kwa jinsi ninavyomkubali,ninapenda maswali ya shombo tafadhari niulize lingine lenye shombo zaidi ya ili.Maskini, hujamuona Mungu aliyekuumba unaacha kumtukuza unamtukuza ndomo ambaye hajui hata uwepo wako duniani? Mmh nakuonea huruma, kweli akili ni nywele
Maisha popote
Mimi binafsi sijaona wa kumtukuza zaidi yake yeye.
Haya mtukuzeni, mtungieni na mapambio.Muanzishieni na Dini.
Mnasifu mnooo...kila kitu diamond.Ushabiki mwingine jamani too much! ! Huyo Dai ni mwanaume ujue.
Haya mtukuzeni, mtungieni na mapambio.Muanzishieni na Dini.
Mnasifu mnooo...kila kitu diamond.Ushabiki mwingine jamani too much! ! Huyo Dai ni mwanaume ujue.
Vipi, kama ni mwanaume mwenzangu maana yake nimponde au humu wote wanaosifiana ni wa jinsia tofauti ukiwa ni wa jinsia moja haurusiwi ?????Haya mtukuzeni, mtungieni na mapambio.Muanzishieni na Dini.
Mnasifu mnooo...kila kitu diamond.Ushabiki mwingine jamani too much! ! Huyo Dai ni mwanaume ujue.