Baada ya kipindi kirefu kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake wa Joto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuwaishambulia redio hiyo na leo Jumapili ameamua kufunguka kwa kuwataja wamiliki wa redio hiyo.
Hivi yule Shekhe aliyempeleka home kwake akamtibu mapepo alishapona? Maana nimesikia ile ilikuwa ni janja ya Nyani ili watu waliomuona wasiseme ni mganga kaenda kumuweka sawa kwenye huu wimbo wake ndo maana anajiamini maana mganga keshamuaminisha