Jide: Kazi ya muziki nzuri jamani, Nilitoka kwetu na elfu 6 nikarudi mkoba umejaa, Aringishia pesa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.

Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....

noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo mama bado anaimba siku hizi? Je ana nyimbo gani mpya? Au kaishiwa mipasho? Make siku hizi naona kabaki kujifariji na picha za instagram...
 
Ila MOG imedorora mno....nimeenda sana kutoa support lakini pana boa ....inabidi afanye upya promo ya nguvu....
 
kwa mara ya kwanza toka nianze kumsikia na kumfuatilia Jide ndio naona ameanza kufanya upuuzi wa kina MASOGANGE,something is wrong here,Jide amekuwa mlevi sana saizi,NAHISI UWEPO WA GARDNER KAMA MUNE NA MANAGER ULIKUWA UNAMUHIMU SANA,I can see the fall of KOMANDO now,hivi kwenye ile show ya tigo kiboko yao alikuwepo? JDEE you need new management asaap,achana na huyo waboberwa sijui utapotea sana..we ni muimbaji mzuri sana lakini na upuuzi wote anoimba Shilole amekufunika kwa jina lake kuwa juu,
 
Hakuwepo kwenye hiyo Concert..
 
kiboko yao ilikuwa shoo ya wasanii wa clouds jide angealikwa vipi?
 
Hivi huyo mama bado anaimba siku hizi? Je ana nyimbo gani mpya? Au kaishiwa mipasho? Make siku hizi naona kabaki kujifariji na picha za instagram...

Yuko jikoni anapika albam ya kumnanga gadna!..bibi ana shida huyu!..ana mastress kibao sijui nani kamwambia atoe mimba hovyo utotoni ona sasa kila akikojolewa sha.hawa sinapitiliza hazisimami kifuko cha uzazi keshakichana na mikasi!!
 
Nyie ndo mnaofungiaga baraka vizazi vyenu.
Maneno uyaandike wewe utashangaa laana inabeba kizazi chako mpaka vitukuu!!
 
Msanii akiweka mbele fedha kuliko sanaa anakosa heshima ya wanaojua maana ya sanaa.

One doea not need to be Spartan and work for free for the sake of art, but the other extreme, worshipping money, is just as despicable.
 
Hater....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…