Wajameni, naona kama tunaingilia privacy ya watu kwa kiasi kikubwa mno... Namuomba PDiddy a "wrap-up" hii mada for the interest of our sister and brother.
Its painful to read some of the comments made
Watanzania tusijidanganye!!! Hakuna kitu kizuri kama likizo yako private na family au hata wazazi. Unapata muda wa ku-reflect maisha yenu na maendeleo kwa ujumla. Ni muda mzuri pia wa ku-iron mambo ambayo hayakwenda vizuri since your last vacation. Kama una pesa tumia na utafute nyingine!! Mim likizo ni lazima, tena huwa na bajeti yake kabisa. Ishi utakavyo na si wanadamu watakavyo!!! Kwani pesa wanakutafutia?? Acheni hizo wakuu mnaopinga Manka na G wake kwenda mapumzikoni.
Duh kuna watu hapa hata Mikumi hawajahi fika lakini ndo kwanza wanawaponda wenzao basi kama vp anza wewe kuitangaza TZ kuna wengi hapa mpo majuu huko mtakubaliana na mm kuwa hata kitu kimoja kinacho kuonyesha wewe ni Mtanzania iwe flana au culture huna upo upo tu.
khaa watu wanaropokwa tu luv.....
Mimi nakubaliana na akina Gadner kwa chochote wanachokifanya au walichofanya kuanzia kuzaa mpaka matumizi ya hela zao.
ILA tu....
Kama wangevaa fulana yenye bendera ya Tanzania pale au yenye Mount Kilimanjaro au Mbuga ya Serengeti.... hapo walipotembelea gereza, wangesaidia kutangaza TZ.......Uzalendo.
Ningewafagilia zaidi.
Mambo yao mengine personal
upi huo? natumai na wewe umeshatoka nje ya nchi kidogo, ulijitahidi kuonyesha huo uzalendo?.....
Mimi nakubaliana na akina Gadner kwa chochote wanachokifanya au walichofanya kuanzia kuzaa mpaka matumizi ya hela zao.
ILA tu....
Kama wangevaa fulana yenye bendera ya Tanzania pale au yenye Mount Kilimanjaro au Mbuga ya Serengeti.... hapo walipotembelea gereza, wangesaidia kutangaza TZ.......Uzalendo.
Ningewafagilia zaidi.
Mambo yao mengine personal
2namshauri dada yetu hana uwezo wa kutumia pesa kijinga asije akayavaa makubwa awe makini, ni kijana mdogo sana anahitaji kutulia...hayo mambo ya akina britney spears wenzao wana mabilioni na mabilioni...yeye hata m 100 kwenye account hana, afu anatuzingua hapa na mambo eti ya edgers, nani asiyepajua cape town bwana mpaka picha kibaoooo.nawewe pia hapo juuu usimsemee.mwambie ajibu yeye.pumbav