Jide na Gadner, sasa ivi kama paka na panya


Gharama za ule mgahawa wake wa nyumbani lounge ungeweza kumfanya aishi masaki au mbezi beach kule baharini, ila kwa kuwa jide sio mtu wa anasa ndio maana kaamua ku invest kwenye mgahawa, sidhan kama jide anashindwa kuishi masaki, maana ndio anapoishi now, sasa apo unabisha nini? Kwamba hawezi kupanga masaki au kujenga? Maana tayar yupo kwenye mjengo tayar
 
Niliona jinsi alivyokuwa busy kusafisha sofa zake

Kahamia nyumba Mpya Masaki sasa sijui kapanga au kanunua ! kasema anataka kuwa karibu na shughuli zake mjini ...Warumi hujui hata wewe tena tunaokutegemea mau- mbeya ?
 
Waliionyesha Bonge la Nyumba na Bonge la Ukuta , Bonge la Geti ...Naona kaamua kuanza kwenye mazingira mapya ili kumbukumbu za G zisimsumbue ( hili ni hisia zangu mimi )

Kweli ckuhiz nipo dunia ya.ngapi cjui!

Kwani kuna.nn kilitokea kati yao?
Hebu nidadavulie kidogo
 
ndio walionyesha hadi walivyokuwa wanapanga vyombo,picha za ukutani makochi jinc ya kukaa...mwisho wa cku utan uluchukua nafac yake walimfichia cm then akaipata na akaendelea kusafisha sofa zake.
 
kwani cha ajabu kitu gani? wao sio wa kwanza na wala sio wa mwisho kuachana .........
 
Kahamia nyumba Mpya Masaki sasa sijui kapanga au kanunua ! kasema anataka kuwa karibu na shughuli zake mjini ...Warumi hujui hata wewe tena tunaokutegemea mau- mbeya ?

Hajapanga ila amenunua. Kiukweli hali ya ndoa yao sio nzuri, coz hata Gadner haishi kwa Jide, anaishi Kijitonyama.
Ndio maana hata Gadner amsimamii tena Jide na sio msemaji wake tena, nafasi yake imechukuliwa na Wakazi Wassira.
Kuna tetesi kuwa mjengo wake wa Kimara unatiwa sokoni au tayari umeshatiwa sokoni.
Gadner amekuwa tatizo kubwa katika ndoa yao kwani amekuwa ni mlevi sana siku hizi.
Na mbaya zaidi akishapiga mtungi huwa ni mkorofi sana kwa Jide hadi kumpiga mara kwa mara.
Mara kadhaa Jide amekuwa akikimbilia kwa mama yake Kiwalani inapotokea mgogoro kati yao.
Kuna Wakati Gadner alimshikia Jide kisu naye kulazimika kulipeleka suala polisi, ambako waliambiwa warudi nyumbani wakamalizane.
Tetesi nyingine zinasema tayari Jide ameshaijaza nafasi ya Gadner, Sasa anatoka na mtu mwingine ambaye ni raia wa nje ya bara la Afrika.
Hata hivyo, hebu Tuache Kwanza nadhani wakati utazungumza wenyewe.
Ova
 

Kweli we ni mdakuzi, furaha ni kitu cha muhimu hapa duniani , kama mkiishi wawili bila furaha basi kupeana nafasi ni bora zaidi.
 

Ok basi sawa , tutamuona kesho kwa salama Mkasi atajibuje kuhusu ndoa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…