Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabebi wawili wapunguzie wenzio mmojaJina langu financial,
Mama yangu ni M
Baba yangu ni L
Babe wangu ni kichwa kichafu na Extrovert
Nimejieleza mamaaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] those days nikiwa sina mafile mengi kichwani nawaza kula tu na kucheza dah! Sahivi ni balaa mafile 100s[emoji19]
Mmh hawa wenyewe hawanitoshii😀Mabebi wawili wapunguzie wenzio mmoja
This is crazy[emoji16][emoji16] jieleze jieleze mimi hapa ni trisha ninapenda kuimbaa!!! Ninapenda kwenda outings nishajieleza mama"Mimi hapa ndio babu
Baba yangu ni mawe
Mchumba wangu ni......
nishajieleza mamaaa.!!"
HAYA TWENDE NA HILO BEAT WATOTO WA MWAKA 2000 HAMTOELEWA KAMWEView attachment 1656153