Jieleze×2 mamaa ukishajieleza nami nitajieleza mamaa

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
"Mimi hapa ndio babu
Baba yangu ni mawe
Mchumba wangu ni......
nishajieleza mamaaa.!!"
HAYA TWENDE NA HILO BEAT WATOTO WA MWAKA 2000 HAMTOELEWA KAMWE
 
[emoji1][emoji1]
Mimi hapa ni A
Baba yangu ni B
mchumbaangu ni J
Nishajieleza mamaaa.. [emoji847]
 
Jina langu financial,
Mama yangu ni M
Baba yangu ni L
Babe wangu ni kichwa kichafu na Extrovert
Nimejieleza mamaaa.

😀😀😀😀 those days nikiwa sina mafile mengi kichwani nawaza kula tu na kucheza dah! Sahivi ni balaa mafile 100s😒
 
Mabebi wawili wapunguzie wenzio mmoja
 
"Mimi hapa ndio babu
Baba yangu ni mawe
Mchumba wangu ni......
nishajieleza mamaaa.!!"
HAYA TWENDE NA HILO BEAT WATOTO WA MWAKA 2000 HAMTOELEWA KAMWEView attachment 1656153
This is crazy[emoji16][emoji16] jieleze jieleze mimi hapa ni trisha ninapenda kuimbaa!!! Ninapenda kwenda outings nishajieleza mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…