Jifunze Android Development kwa gharama ndogo. Tsh 85,000/=. Hiyo sio chuo ni street

TRA umeshamalizana nao..?

Maana hii pia ni business..!

Bila hivyo, Watu wasisibutu kutuma pesa.... Utapeli kama utapeli Mwingine Wa Mtandaoni
Sio chuo wala taasisi ya mafunzo
Ni street programming and development technique

Walikuja watu kadhaa wanataka kuwa kama mimi siku za nyuma

Kwa kua nikuchukua muda ikabidi iwepo gharama kidogo ya mafunzo

Ndio maana hakuna ada ya maombi ni kulipia kile ambacho utakuwa umejifunza

Kuna mwingine ameuliza kwamba akijifunza atapata hela???


Jibu ni Ndio Hela utapata ukifuata miongozo ya msingi ya kupata pesa ukiwa na taaluma hiyo utakayo kuwa umeji funza

Kuna mungine hapo chini amesema ni utapeli kwa sababu ndipo alipo ishia kunifuatilia na sijajua kama kaona post tu na ku sema tapeli.


Sina namna ya kumwaminisha zaidi ya yeye kunifuatilia maana kunifuatilia sio gharama kubwa ni bando tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…