Jifunze biashara ya madini kwa kusoma kitabu hiki

Jifunze biashara ya madini kwa kusoma kitabu hiki

MWEMZUNDU

Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
11
Reaction score
3
KWA HAPA TANZANIA

Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA.

Kinauzwa tsh 20,000/= kinapatikana dar es salaam katika bookshop ya TPH POSTA na kama upo mkoani wapigie tu simu lipia wao watakutumia kwa basi kitabu chako.

NAMBA ZAO ZA SIMU:

0742556446

IMG-20230120-WA0015.jpg
 
Biashara ya madini inahitaji uwekezaji wa fedha nyingi na mtaji mkubwa chief.

Haiingii akilini kujiingiza kwenye biashara ya fedha nyingi eti kwasababu umetoa muongozo kwenye kitabu.

Wapo walio tangaza kuuza vitabu vya miongozo ya kilimo cha tikiti na kitabu kilielekeza hadi kiasi cha faida baada ya kukisoma, mwisho wa siku waliishia kulima matikiti na kupata hasara kubwa kuliko.

Binafsi naamini biashara yeyote inahitaji muhusika aende field ndio atauona uhalisia.
 
KWA HAPA TANZANIA

Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA.

Kinauzwa tsh 20,000/= kinapatikana dar es salaam katika bookshop ya TPH POSTA na kama upo mkoani wapigie tu simu lipia wao watakutumia kwa basi kitabu chako.

NAMBA ZAO ZA SIMU:

0742556446

View attachment 2500006
Asante kahama kitabu kipo
 
Natamani sana kufanya biashara hii ila inaonekana kama biashara ya kamali. Wengi walioingia humu wamebaki weupe peeee
 
Back
Top Bottom