Asante kahama kitabu kipoKWA HAPA TANZANIA
Hakuna kitabu au documents yeyote ya kukuongoza wewe mgeni kufanya biashara ya KUNUNUA MADINI zaidi ya kitabu hiki cha MWONGOZO wa biashara ya kununua madini ni HAKUNA.
Kinauzwa tsh 20,000/= kinapatikana dar es salaam katika bookshop ya TPH POSTA na kama upo mkoani wapigie tu simu lipia wao watakutumia kwa basi kitabu chako.
NAMBA ZAO ZA SIMU:
0742556446
View attachment 2500006
Unaweza uchawi?Natamani sana kufanya biashara hii ila inaonekana kama biashara ya kamali. Wengi walioingia humu wamebaki weupe peeee
Uchawi siwezi kabisa. Inahitaji uchawi?Unaweza uchawi?