Raphaeld33
Member
- Mar 1, 2014
- 7
- 6
ila mzee hii mziki sijui inamzuka gani yan ni hatarii, naweza kua nasikiliza geto sauti mpaka mwisho na kucheza mwenyewe kama nimechanganyikiwa , na si unajua miziki hii haina styledah huyo sijawah msikiliza ngoja nimtafute