Jifunze hivi,weekend hii

Hebu fafanua hiyo nmba 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nimeanza mwaka na ban! Jukwaa la siasa nashindwa kbs kutoingia mle! naomba Mungu anipe unyenyekevu ccm niwazoee tu!yaan huu mwaka sitak kuwa shabiki wa siasa!..najikuta napoteza muda sana!
Ccm shenzi zao!
Ha ha ha.. kwa hao jamaa unaeza pata stress. Kuwazoea inabidi tuu ujiunge nao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…