Kama Ulisha wahi kutafuta taarifa kutoka google za biashara, Duka, Office lazima utaona majibu ya kile unachokitafuta yakiambatana ramani ya kile ulichokitafuta kutoka google.
Wakati mwingine utakuta majibu pia yakiambatana na picha zinazohusiana na biashara husika, Anuani pamoja na namba za simu. Taarifa unazozipata haziji automatic.
Unazipata kutokana na kuwa, mmiliki wa biashara husika ameziweka (ame zi list) kwenye Google Maps. Sasa ni wakati wako wa kulist biashara/huduma yako na kuweza kujulikana na watumiaji wengi wa mtandao.
Nini faida ya Kuwa Listed Kwenye Google Map?
ü Kwanza Huduma hii ni bure na inakusaidia biashara yako kuonekana duniani kote
ü Ni rafiki kwa watumiaji wa Smart Phone. Unapoweka taarifa za biashara yako google itaonekana kwa watumiaji wa kifaa chochote kinachotumia mtandao na kwa wakati wowote.
ü Itakusaidia kwa wateja wako kupata taarifa zako kwa urahisi kama mawasiliano pamoja na anuani.
ü Inakujengea wateja wako kukuamini kutokana na huduma unayotoa.
ü Tovuti yako kupatikana kwa urahisi watu wanapohitaji taarifa zako kutoka google.
Hapo awali hii huduma ilikuwa ikifahamika kama (google Places) kwasasa wali badilisha jina na kiita (GOOGLE MY BUSINESS). Bandiko hili lita kuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kuweka biashara yako google.
Baada ya kuiweka biashara yako Google mteja au watu watakapo kuwa wakiitafuta biashara yako watakuwa wakipata majibu yakionyesha ramani pamoja na mawasiliano yako/ ya biashara yako na sehemu ulipo bila ya kujalisha anatumia simu, tablet au computer.
Hapa nimekuwekea matokeo ya mtu aliyetafuta “NJIRO COMPLEX” ambapo kwenye picha utaona matokeo yanaleta Picha, Ramani ya eneo, Anuani , Muda wa kazi na reviews. Unatakiwa kupata haya matokeo pale mtu anapo tafuta taarifa za biashara yako.
Unaweza cheki matokeo hapa njiro complex - Пошук Google
1. Hatua Ya kwanza ni kutengeneza ukurasa wako wa Google+
Link ya Kudownload PDF yenye maelezo yote na hatua za kufuata <<< http://tanzaniaonline.makendatec.com/business/ >>>>>