sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa.
kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo.
1. ingia playstore au apple store, download Opera browser (sio opera mini)
2. fungua opera, ingia sehemu ya settings,
B. Ingia sehemu ya vpn
c. washa hii sehemu
faida ya opera

- huna haja ya kudownload vpn inayojitegemea, hii imo tayari ya browser ya kuperuzi mtandao
- huna haja ya kufungua na kuwasha vpn kila mara, opera ukiseti mara moja tu umemaliza kazi.