sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
sishaauri kutumia vpn kwa mambo ambayo unaweza kuyatumia bila vpnVip nikitumia opera browser kwa matumizi yote tu
Sasa hadi hapo si tayari utakuwa umetumia vpn au?.Tena vpn yake hiyo inakula data kama nini ukiiwasha unaongeza matumizi ya bundle kwa aslimia 30onyo: maelezo haya yametolewa kwa nia ya matumizi ya kielimu tu, tumia maelezo haya yatayo kusaidia positively.
Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa.
ili kufungua fuata hizi hatua izi nyepesi.
1. ingia playstore au apple store, download Opera browser (sio opera mini)
View attachment 2046694
2. fungua opera, ingia sehemu ya settings,
View attachment 2046711
B. Ingia sehemu ya vpn
View attachment 2046712
c. washa hii sehemu
View attachment 2046713
sasa utaweza kuperuzi websites, kutakuwa na alama ya vpn kila unapofungua website
View attachment 2046731
tumia opera kwa websites zilizofungiwa tu, kwa matumizi ya kawaida tumia uliyokuwa ukiituma kabla ya opera
Hii ni proxy ya kawaida sana haina ulinzi kama vpn, unaweza kugundulika kirahisi kwamba umeingia websites zilizofungiwaGoogle hichi kitu hide my assignment proxy
View attachment 2046736
hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, vpn imeongezewa humo humo, huna haja ya kudownload vpn.Sasa hadi hapo si tayari utakuwa umetumia vpn au?.Tena vpn yake hiyo inakula data kama nini ukiiwasha unaongeza matumizi ya bundle kwa aslimia 30
Umechelewa Mkuu Kigogo wa Twita mwaka Jana alitupa 'Maujanja' tena zaidi ya haya yako.onyo: maelezo haya yametolewa kwa nia ya matumizi ya kielimu tu, tumia maelezo haya yatayo kusaidia positively.
Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa.
ili kufungua fuata hizi hatua izi nyepesi.
1. ingia playstore au apple store, download Opera browser (sio opera mini)
View attachment 2046694
2. fungua opera, ingia sehemu ya settings,
View attachment 2046711
B. Ingia sehemu ya vpn
View attachment 2046712
c. washa hii sehemu
View attachment 2046713
sasa utaweza kuperuzi websites, kutakuwa na alama ya vpn kila unapofungua website
View attachment 2046731
tumia opera kwa websites zilizofungiwa tu, kwa matumizi ya kawaida tumia uliyokuwa ukiituma kabla ya opera
Sawa!! But nilidhani ulilenga kushare maujanja ya jinsi ya kufungua websites zilizofungwa bila kutumia vpn maana matumizi ya Vpn katika kuaccess websites inaongeza matumizi ya data maradufu kwa asilimia zaidi ya 30 lakini hata hivyo sio mbaya thanks for sharing mkuu angalau itaepusha usumbufu kama ulivyosema...hii ni vpn ambayo imo tayari kwenye browser.
hakuna usumbufu wa kudownload vpn nakuiwasha kila mara
ule ulikuwa ni uchafu, mtu alikuwa anaweka vpn hata 10 kwasababu zilikuwa zina kikomo,Umechelewa Mkuu Kigogo wa Twita mwaka Jana alitupa 'Maujanja' tena zaidi ya haya yako.
Hata hivyo tunakushukuru kwa Jitihada zako Kwetu kwa Jambo ambalo tayari tumeshalijua.
nimeandika " ma vpn" huo ni wingi mkuu 😂 ilifika mahali mtu ana vpn hadi 5 kwenye simu.Sawa!! But nilidhani ulilenga kushare maujanja ya jinsi ya kufungua websites zilizofungwa bila kutumia vpn maana matumizi ya Vpn katika kuaccess websites inaongeza matumizi ya data maradufu kwa asilimia zaidi ya 30 lakini hata hivyo sio mbaya thanks for sharing mkuu angalau itaepusha usumbufu kama ulivyosema...
Kumbe!..Sasa hadi hapo si tayari utakuwa umetumia vpn au?.Tena vpn yake hiyo inakula data kama nini ukiiwasha unaongeza matumizi ya bundle kwa aslimia 30
MimI nina browser yangu hiyo ina block ads zoteeeee.sishaauri kutumia vpn kwa mambo ambayo unaweza kuyatumia bila vpn