hajjmakwato
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 233
- 156
Karibu ujifunze Kiingereza
Kozi hii ni mfululizo wa vijitabu vya kufundishia Kiingereza cha kawaida cha kuongea. Katika vijitabu hivi, utakuta mazungumzo ya Kiingereza, tafsiri, maelezo na matumizi sahihi ya Kiingereza.Pia kuna mazoezi ya kuzungumza Kiingereza, orodha, misamiati na mazoezi ya kupima uelewa wa mazungumzo.
Kozi imerekodiwa na inaweza kusikilizwa. Pia kuna sauti za Kiingereza ili kuonesha matamshi sahihi. Kuna maandishi maalumu yanayoonesha matamshi sahihi ya maneno ya Kiingereza.
Pia utajifunza hatua kwa hatua jinsi maandishi ya Kiingereza na matamshi ya Kiingereza yanavyoendana.
Kwa yeyote ambae atahitaji soft copy pdf ya kijitabu chochote pamoja na audio yake basi mimi nitamtumia kwa gharama ya Tsh. 3,000/-.
Naweza kumtumia kwa njia ya email au whatsapp.
Namba yangu ni 0713422826
Email . hajjmakwato@gmail.com
Unanitumia hela kwa tigo pesa nakutumia kijitabu ulichotaka pamoja na audio yake.
Hii itakusaidia wewe kujisomea kupitia simu yako ya mkononi bila ya kuwa na intaneti.
kwasasa kuna kitabu cha 1 hadi 7
Karibuni sana.