Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
mvua ikinyesha itabidi urudie kupiga dawa, na ndio umakini tunaozungumzia dawa inapigwa jua likianza kutoka kusiwe na umande lazima uangalie hali ya hewa kabla ya kupiga dawa na ikitokea mvua ya ghafla acha kupiga dawa na kama umemaliza kupiga dawa mvua ndio ikanyenya kama imepita hata lisaa moja dawa imefanya kazi haina haja ya kurudia.swali tafadhali:hivi madawa ya kupulizia minyanya huweza kudumu kwenye majani ikizuia wadudu kwa muda gani?na je,mvua ikinyeshea inabidi upulizie tena?
inategemea unalimia wapi, kilimo tunalima kwa msimuMuda mzuri wa kufanya kilimo hiki ni mwezi wa ngapi?
kuna makundi mawili ya mbegu, kuna mbegu za kawaida na mbegu za kisasa
ni joto kweli zinakuwa kama zimeungua,dokta ; matunda ya nyanya yanaharibika kwa kuanzia kwenye kitako cha tunda la nyanya. Wengi wanasema tatizo ni joto. nipo tabora. je ni kweli tatizo ni joto? nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
umelimia wapiNilikuwa Nina miche 580.nimepata hela kiduchu. Msimu mbaya
Karibu...sanamm ni mkulima wa nyanya morogoro, hapa dar naishi tabata baracuda naweza kuja kutembelea shamba lako mkuu?
kimanga sehemu ganiKaribu...sana
Kwampemba....ukifika kimanga mwisho unapanda vigari vya migombanikimanga sehemu gani
poa kabla sijaenda Moro nitakuja kukutembeleaKwampemba....ukifika kimanga mwisho unapanda vigari vya migombani
Mwanza Ilemelaumelimia wapi
Karibu sana ndugu yangupoa kabla sijaenda Moro nitakuja kukutembelea
Inaitwa AssilaMbegu gani hiyo mkuu
Habar yako mkuu hizo zote zimechukua muda gani tangu umepanda mpaka kukuletea mavuno yote hayo? Kwanza nikupongeze Kwa kazi kubwa uliofanya*
Pia ni magonjwa gani mwenyew umepambana nayo mpaka ku win kiasi cha kuvuna mavuno hayo mkuu?
Nikitaka kuingia katika Kilimo cha nyanya ungali mzoefu kwa kipindi chote tangu umeanza unanishauli vipi Mimi nisie elewa chochote kuhusu hichi Kilimo mkuu.
(changamoto ambazo nijiandae kisaikolojia kukabikiana nazo, mazingira yapi ambayo ni favourable na njia zipi nitumie kupata mazao mengi?)[emoji4] [emoji4] [emoji4] nakutegemea mkuu Kwa hayo
Mkuu hii mbegu nibei gani: Mbali na mbegu hiyo ya asilla ipi mbegu nyingine nzuri yenye bei nafuuchangamoto kubwa ni shamba zuri, mbegu nzuri na Huduma nzuri shambani ukifanikiwa hayo utakumbana na changamoto ya bei kuhusu soko ni uhakika
kwa Moro hakuna changamoto kubwa ila nyanya inahitaji uangalizi sn na umakini wa hali ya juu
Mbegu zipo kwenye makundi mawili, kuna mbegu za kawaida na mbegu za kisasa. Kwenye mbegu za kisasa assila inafanya vzr sn japo bei yake kubwa Ila zipo mbegu zengine za kisasa zenye bei nafuu mf kilele, Monica f1, kipato nkMkuu hii mbegu nibei gani. Mbali na mbegu hiyo ya asilla ipi mbegu nyingine nzuri yenye bei nafuu. Vip kuhusu mbegu ya riogrand ina ubora nasifa gani. Je, nyanya inahasara hatakama ukiuza tenga kwa bei ya 10000 itakulipa ikiwa umezihudumia vizuri?
Kwa mbegu za kiwaida riogrand inafanya vizur Ila sio kama sawa na mbegu za kisasa.Mkuu hii mbegu nibei gani. Mbali na mbegu hiyo ya asilla ipi mbegu nyingine nzuri yenye bei nafuu. Vip kuhusu mbegu ya riogrand ina ubora nasifa gani. Je, nyanya inahasara hatakama ukiuza tenga kwa bei ya 10000 itakulipa ikiwa umezihudumia vizuri?