Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
hii mbegu ya assila gramu 50 inauzwa 560,000/=Mkuu hii mbegu nibei gani. Mbali na mbegu hiyo ya asilla ipi mbegu nyingine nzuri yenye bei nafuu. Vip kuhusu mbegu ya riogrand ina ubora nasifa gani. Je, nyanya inahasara hatakama ukiuza tenga kwa bei ya 10000 itakulipa ikiwa umezihudumia vizuri?
56000 au 560,000/=?hii mbegu ya assila gramu 50 inauzwa 560,000/=
ni 560,000/= zina gharama sn Ila zinazaa sn ni kubwa na ngumu wafanyabiashara wanazipenda sn zinafanya vzr sokoni hata bei take tofauti na za nyanya za kawaidaTsh
56000 au 560,000/=?
Ekari moja umetumia gharama kiasi gani na mavuno umepata tani ngapi
Mkuu hizo 50g zinakuwa na miche/Mashina mangapi? Na gharama za kuandaa/kulima /operational cost za shamba la mbegu 50g in kiasi gani na mavuno take in kiasi ganini 560,000/= zina gharama sn Ila zinazaa sn ni kubwa na ngumu wafanyabiashara wanazipenda sn zinafanya vzr sokoni hata bei take tofauti na za nyanya za kawaida
miche ni mingi huwezi kuhesabu Ila inatosha heka 1 na kubaki inaweza kupanda heka 1 na nusu kama hazita kufa sana maana kuna zoezi la kurudishia miche kwenye mashimo yaliyokufa.Mkuu hizo 50g zinakuwa na miche/Mashina mangapi? Na gharama za kuandaa/kulima /operational cost za shamba la mbegu 50g in kiasi gani na mavuno take in kiasi gani
miche ni mingi huwezi kuhesabu Ila inatosha heka 1 na kubaki inaweza kupanda heka 1 na nusu kama hazita kufa sn maana kuna zoezi la kurudishia miche kwenye mashimo yaliyokufa
hiyo gharama niliyokwambia nimejumlisha kila kitu kuanzia kukodi shamba, kulima kwa trekta, kupiga shimo, kupanda, kurudishia, palizi, madawa yani kila kitu hadi kuvuna
Mkuu mavuno ya nyanya yapo hivi, sisi tunauza kwa box, na tunavuna kila wiki.Mkuu hizo 50g zinakuwa na miche/Mashina mangapi? Na gharama za kuandaa/kulima /operational cost za shamba la mbegu 50g in kiasi gani na mavuno take in kiasi gani
poa poa mkuuShukran kwa elimu
Sasa mkuu kwamimi nisieweza kununua hiyo mbegu gharama kubwa je kwambegu hizi zakawaida unanishauri ninunue mbegu gani?kwa mbegu za kiwaida riogrand inafanya vzr Ila sio kama sawa na mbegu za kisasa
kuhusu bei ikianzia 10000 ni bei nzuri inalipa gharama na faida unapata kubwa tu
Mkuu shina moja linaweza litatoa kilo ngapi kuanzia mchumo wa kwanza mpaka wa mwisho?poa poa mkuu
nunua riogrand Ila hazizai sn na bei zake tofauti na assila pia michumo haiwezi kuwa mingi kama assilaSasa mkuu kwamimi nisieweza kununua hiyo mbegu gharama kubwa je kwambegu hizi zakawaida unanishauri ninunue mbegu gani?
Mkuu hatuuzi kwa kilo tunauza kwa box kama hivi.Mkuu shina moja linaweza litatoa kilo ngapi kuanzia mchumo wa kwanza mpaka wa mwisho?
Tatizo sisi wageni wa mbegu ni vigumu kuzijua maana kila kampuni ya kuuza pembejeo inaipa mbegu jina lake kulingana na brand ya kampuni yake hivyo unakuta mbegu ya aina moja inakuwa na majina mengi kutokana na kampuni inayoizalishambegu zipo kwenye makundi mawili, kuna mbegu za kawaida na mbegu za kisasa
kwenye mbegu za kisasa assila inafanya vzr sn japo bei yake kubwa Ila zipo mbegu zengine za kisasa zenye bei nafuu mf kilele, Monica f1, kipato nk
Mkuu riogrand nibora kuliko mkulima? Au Tanya kwa uzoefu wako inaweza kunilipa ikiwa ntaihudumia vizuri ?navip naweza kuotesha kitalu kwasasa vip soko lake litakua zuri.Sasa mkuu kwamimi nisieweza kununua hiyo mbegu gharama kubwa je kwambegu hizi zakawaida unanishauri ninunue mbegu gani?
Kama mgeni tafuta msaada wakati wa kununua mbegu kwa wakulima wazoefu, mbegu zipo aina nyingi zinatofautiana ubora pia uwa wanachakachua.Tatizo sisi wageni wa mbegu ni vigumu kuzijua maana kila kampuni ya kuuza pembejeo inaipa mbegu jina lake kulingana na brand ya kampuni yake hivyo unakuta mbegu ya aina moja inakuwa na majina mengi kutokana na kampuni inayoizalisha
Hii unayoitumia inasambazwa na kampuni gani? hapo ndio pa kuanzia maana nikienda kibo seeds unakuta ina jina jinginekama mgeni tafuta msaada wakati wa kununua mbegu kwa wakulima wazoefu, mbegu zipo aina nyingi zinatofautiana ubora pia uwa wanachakachua