mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Na weka maneno chini niliyoyakuta yameandikwa kwa blog kama tamko kwa umma.
Kweli hawa watu wameishi marekani miaka mingi na hadi leo kiingereza ni pumba yaani hata bora wangekosea herufi ila wamekosea hata kuweka sentensi kuleta wanachotaka kusema bila mtu kusoma na kushangaa....
sasa hata mwenye blog nae anaishi marekani blog maarufu hiyo vijimambo nae hakuona makosa akarusha tu...
sasa hii ndio maana unakuta wengi kazi zao shughuli kutwa kuongea na watanzania, wazungu waongee kizungu ni mara chache madukani etc
hivi kweli mtajiendeleza kwa lugha ngeni? tena huyo na kuwa na kampuni hiyo kumbe duh..kikazi si shida zaidi.
haya kwa mnaotaka kujifunza lugha ya kiingereza, hii ni moja ya examples kukusaidia kuweka vizuri (yaani kuiandika vizuri) ujumbe waliotaka kuutoa kwa umma. Soma ili ugundue wapi hakueleweki, Kumbuka usikazanie kusahihisha neno, hata sentensi unaweza badili.

PRESS RELEASE :-SAFARI RESTAURANT IMEFUNGWA RASMI -IMETOLEWA KWA UMMA NA DMK CHASE INVESTMENT LLC.
DMK CHASE INVESTMENT .LLC WOULD LIKE TO INFORM OUR CUSTOMERS THAT WE ARE NO LONGER MANAGING SAFARI RESTAURANT DC,WE HAVE CLOSED THE KITCHEN AT THE END OF OUR CONTRACT AND WE HAVE NOT RENEWED FOR ANOTHER YEAR ,WE ARE MOVING TO THE NEW LOCATION IN DOWNTOWN SILVER SPRING,MORE DETAILS COMING SOON,WE ARE SORRY FOR THE INCONVENIENCES AS THIS MAY CAUSE AND THANK YOU FOR YOUR PATRONAGE AND PATIENCE ALL THROUGH THE YEAR -MANAGEMENT-