Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Mkuu nimeipenda lakini bado sijaambulia vizuri......huwe unaleta mikeka yako tuweke pesa fasta,
 
Hope we pia ni fan wa huu mchezo, Game ya warrior na San antonio unatabiri vip imepewa 211.5 O/U

Daaah sorry bro, yaan nimechelewa kweli kukujibu, na kwa hakika jibu langu lingekua ndio, over 211, maana sasa wako kwenye nusu fainali alaf wote waliobakia wanauwezo mkubwa sanaa wa kufunga na kufukisha point zaidi ya 100+ kwa kota zote nne, warriors, spurs, cavalier na boston/washington wana uwezo mkubwa sanaa wa kufunga wotee, yaani hawa nliwafuatilia sanaa toka ligi inaanza wamejaza mastar wa kufa mtu, wote wanabadilisha matokeo ndani ya dk chache tu, mfano jana nlikuta et kota ya kwanza imeisha wamefungana only 46 tu af et over kubwa kabisa ya point 2.20 ilikua imewekewa total point ya 204.5 daaah nlicheka sanaaa nkasema bahati yak3 tu uyu kanikuta kwenye akaunti nna hela ya kawaida tu, ningeweka ata milion, then kilichotokea wametoa 225 af karibu kila kota ni 50+ hadi 60. ni hatari sanaa kucheza under kwa ligi ya NBA. tukutane basi leo jioni kwa game la boston na washington, ni final game ya robo ni hatari hii.
 
Naona mkeka wamepandisha toka Over/Under 206.5 to 213.5
 
Golden state warriors vs san antonio spurs 205.5 u/o
vp hapo leo mkuu?
 
Kwa anaechezaga kupitia Princess bet zile over na under za away or home team huwa Ni za full time or half time
 
Tuoneshe risiti ulizo win
 
Kama vipi unga grup la betting basketball tuwage tunapea maujuz
 
Mkuu haitaji kujua zaidi zaweza kupata no yako au utengeneze group za whatsapp please
 
Mkuu tengeneza group la WhatsApp tunaotaka tujiunge huko kwenye kubet kwa kutumia basketball
 
Acheni Kucheza kamali ni haram... ligi za ulaya hawafungani? Acha real Madrid huwajui wewe au Maccabi Haifa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…