Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Mkuu saiz nna tafta mtaj n ni sh 20k ningekua namda ningekufundisha
Kabla haujaniacha solemba.

Meridian bet naona wana bet za totals (over na under) za point mbalimbaki, naona 210, 211n.k.
Hapo nachagua yoyote?
 
Kabla haujaniacha solemba.

Meridian bet naona wana bet za totals (over na under) za point mbalimbaki, naona 210, 211n.k.
Hapo nachagua yoyote?
mkuu una some ideas ntakupa namba utanitafta mi sio mbinafs
 
Page ya pili ya uzi huu, kuna link ya kujiunga na ilo group la whatsap la Basket na kila kitu utajulishwa huko, bonyeza uingie kundini moja kwa moja.
Haposafiimpwaaaa ngojanamie nikachungulie upunguze yalemadeni ya 2017
 
mkuu natafta mtaji ni kama elf 20 ntakua nacheza basketball na volleyball kila siku nataka niingize hata 50k
Mkuu hii volleyball mbona sielewei unakuta kuna metch wanacheza hadi set 5,mechi zingine zinaishia 3 au 4.sasa nachojiuliza utajuaje match fulani wataishia hawatafika seti fulani labda 4 wakaishia 3?
 
Mkuu hii volleyball mbona sielewei unakuta kuna metch wanacheza hadi set 5,mechi zingine zinaishia 3 au 4.sasa nachojiuliza utajuaje match fulani wataishia hawatafika seti fulani labda 4 wakaishia 3?
VOLLEYBALL ipo hivi


kwanza ina set nne rasmi


team ikishinda set 3 kwa bila game inaisha hapo hapo


ila wakifunga kwa kubadilishana set mfano set ya kwanza imeshinda hom team na set ya pili wameshinda away team bas hio game inafika set 4


ikitokea wamefungana kwa set mbili mbili kila team inakua 2up hivo wanaongeza set ya 5 ili imalize ubish mana lazima mshind apatikane




uliza lingine nikusaidie
 
Nashauri pia Mikeka ya over points Basketball muwe mnaweka humu .... Nafikiri baada ya muda tutajua tu jinsi ya kuzibalancia
Tutembelee nyota yako Mkuu
 
sasa mkuu kule kwenye betting unaweza wekewa point let say juu ya 180.5 au chini ya 180.5 sasa game ikiisha set ya 3 ni wazi hizo points haziwezi kupatikana na ni vigumu kujua kama timu watafikia set 3 tu.sasa kwa sisi tunao beti ni vitu gani vya kuangalia kujua hii mechi angalau wanaweza kufika set 4 angalau waweze kutoa hizo points
 
hio ni 200+ plus kwa kua wanatumia dk 12 ila kwa wanaotumua dk 10 nenda


GERMANY

SPAIN

ARGENTINA

SLOVENIA

FINLAND


RUSSIA VTB

EURO LEAGUE

ABA LEAGUE


HAPO UNAEZA KUANZIA MWENDO NI OVER SO UNDER
Pamoja ndg ... Tutazidi kuelekezana kesho ntaweka kokoro nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…