Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

kwanza volleyball wanaeza fika hata points 300 kuhusu kufika set 3 angalia mtu wa hom na away kwenye kuwin ukiona wanapishana kidogo ujue hapo pana over zote duniani ila ka mmoja anajua na mwingine ni mbovu kanj hua anaweka 129+ akiamin set zitaishia 3
 
uliza kuhusu


VOLLEYBALL


BASKETBALL


ice hockey



water polo



handball


futsal
tupo pamoja mkuu nilikuwa natafuta mwalimu naamini nimempata
Mkuu kwenye NBA huwa sielewi unakuta timu ya ya western conference inacheza na ya east ni kwa nini,na je kila wing mwisho wa msimu unakuwa na mshindi wake ama? pia mshindi wa jumla wa wingi zote anapatikanaje? na jumla ya mechi zinazochezwa ni ngapi?
 
Pamoja ndg ... Tutazidi kuelekezana kesho ntaweka kokoro nijaribu
samahan boss nimepata mbinu mpya za kula kila game tena kwa lazima hivo sidhan ka ntakua na mda cos saiz nataka nifanye betting kaz n kesho kuna mtu nataka akanikopeshe 30k ili niingie rasmi mzigon sitak niwasiliane na mtu yyte n nisiwe natumia social networks ; sitok ndani wala kifup ntakua busy ko ka kuna siku ntatoa elimu ya kubet michezo mingine mbal na football ni leo
 
Juzi kati nimecheza under 220 game ya GSW ..nikachana naomba umu tunapeana tips ila basket inapesa mm za vocha hazinikosi
 

Najaribu kukusoma vizuri sana ila hapo katika Total point over/under kwa mfano hiyo 205.5 = 1.98

Je hapo mdau hiyo total point ni kwa timu zote mbili jumla ha point zao au ni point ya timu moja wapo utakayochagua.

Na hiyo 1.98 inatumika wapi au ndio kukokotoa mpunga wako ukishinda.

Tunaendelea kujifunza.
 
ligi ya NBA ipo kama football ya marekani wapo team za east na west n hua zinakutana ila points zikipatikana zinawekwa katika groups 2 moja la west na lingine la East so hakuna madhara n kuna NBA all Stars hii huchezwa kila mwaka mwaka juz kanji aliweka over na under ya 220.6 walitoa 350 mwaka jana waliweka the sama over na under ya 225.5 wakatoa 374+ ya mwaka huu hata wawekaje game itaisha over hio gem unaeza weka hata familia; mali na kila ulochonacho af kushinda over yyte utayoletewa bila waswas
 
Juzi kati nimecheza under 220 game ya GSW ..nikachana naomba umu tunapeana tips ila basket inapesa mm za vocha hazinikosi
Hizi betting unalipwaje mkuu ukishinda haya mambo yametupia mbali sana ila kuvijua muhimu.
 
Asante mdau ila swali langu lilikua hela yakouliyoshinda unaipataje au unatumia katika simi mfano mpesa au tigopesa.
Betting company saivi zimekuwa rahisi ..utajiunga either kupitia number ya tigo voda au lin yoyote ile kuhusu kulipwa ina depend na bet company wengine unawithdrw kutoka kwa account to lin yako au wengine wanainguza direct as muamala
 

Mkuu leo mkeka wako upo vp????
 
Wakuu, page namba mbili ya uzi huu kuna link ya group la whatsap mtu anaweza kujoin na akajifunza kila kitu kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…