Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Wadau wa betting hivi idadi ya kubet mechi mwisho mara ngapi. Yaani kwa mfano anacheza chelsea na Man city je hapo naweza kubet option tofaut tofaut kwa mkeka tofauti tofauti.
Let say mkeka wa kwanza nikasema man city anashinda, mkeka wa pili nikasema wanadroo na mkeka wa tatu nikasema chelsea anashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…