Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Je ikiwa hivi inamaanisha nini? -2.5(Away) +2.5(Home) Nami nihamie huku.
 
Mkuu hapa inatakiwa kuchezwaje? Mbona sion option ya kuipa team flani ishinde kama ni over?
 
Naanza rasmi kubet. Kutokana na michango ya wadau, inaonyesha basketball ina toa hela. Sasa nimesha download 1xbet. Kwa wale wajuzi, naomba tushikane mikono tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…