mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Karibu sana wee ni PM tuu!!mchajikobe yule niliyeamini ni rafiki yangu niliekuwa nikilia nae analia nikiumwa nae anaumwa kumbe anapretend sitaki tena
labda baadae sana au wewe uwe rafiki yangu ama nipate kibibi cha 50-70 years nikipende kinipende nikitunze na kukieheshimu hahaha
Usisahau na hii iko kwa madadas waliolewa pia. Anakuwa anamwonea mwenzake wivu kwa kuwa kampiku kimaisha -pesa kidogo , life style etc. then anatengeneza mazingira ya kumharibia mwenzake. Sometimes madadas wanadanganyana ile mbaya hasa wanapoanza topic za kuwakandia waume zao . mara anaingia mtegoni anamplekea mumewe waliyodanganyanyana ,kumbe anaharibu huku mwenzie anachekelea jino pembe.
Karibu sana wee ni PM tuu!!
kuhusu mimi unakaribishwa sana to my domain,wewe ni pm tu usihofu swahiba!!mchajikobe yule niliyeamini ni rafiki yangu niliekuwa nikilia nae analia nikiumwa nae anaumwa kumbe anapretend sitaki tena
labda baadae sana au wewe uwe rafiki yangu ama nipate kibibi cha 50-70 years nikipende kinipende nikitunze na kukieheshimu hahaha