Jifunze kufunga Tai na sheria zake baada ya kuvaa

18/ Hairuhusiwi kunuka mdomo + kwapa
19/ Ni marufuku kuvaa tai na mavazi oversize
20/Hairuhusiwi kuvalia makubanzi
21/Hairuhusiwi kutafuna mahindi km ng'ombe barabarani
 
Director of Camera(DC)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bitoz wa dar unajuwa kufunga tai ama umezoea kuvaa jeans mlegezo na t-shirt[emoji28]
 
Bitoz wa dar unajuwa kufunga tai ama umezoea kuvaa jeans mlegezo na t-shirt[emoji28]
Tai waachie watu wa ofisini....sivai tai wala koti but nahomekea fresh tu na natoka bomba... Navaa kulingana na sehemu na ishu

Mimi ni mtu anayejitambua so sivalii suruali matakoni(kata K)
 
Tai waachie watu wa ofisini....sivai tai wala koti but nahomekea fresh tu na natoka bomba... Navaa kulingana na sehemu na ishu

Mimi ni mtu anayejitambua so sivalii suruali matakoni(kata K)
Hahahah bitoz umenifurahisha ni kweli unaweza usivae tai lakini ukapendeza,hiyo avatar yako inanichekesha huyo tembo kavaa nini...
 
Sheria ya Malkia wa UK:
Si ruhusa kuvaa tai siku za Jmosi kuanzia alfajiri mpaka Lunchtime.baada ya lunch unaruhusiwa kuvaa.Wachunguze waingereza na wafaransa utaona hiyo.
 
Sheria ya Malkia wa UK:
Si ruhusa kuvaa tai siku za Jmosi kuanzia alfajiri mpaka Lunchtime.baada ya lunch unaruhusiwa kuvaa.Wachunguze waingereza na wafaransa utaona hiyo.
Kwasababu gani mkuu?
 
Maisha Yetu Yenyewe Haya Magumu Ni " Tai " Tosha Mkuu Tena ILIYOKAZWA Na IKAKAZIKA Shingoni Halafu Bado Unatutaka Tena Tujifunze Kufunga Mbona Kama Una Makusudi Na " MAKAPUKU " Siye?
 
Ni katika ibara gani kwenye katiba ya 1977?
 
Nilinunuaga nikiwa field (mafunzo kwa vitendo). Nilinunua pale Kariakoo sokoni baada ya jamaa kunielekeza namna ya kufunga. Baada ya kumaliza field sijawahi, na sitarajii tena kuvaa likamba shingoni. Hata iwe siku ya harusi yangu.
 
Ni Kwenda kinyume na Matakwa ya malkia wa Uingereza kwa kuvaa tai Jumamosi asubuhi.UKWELI......JK akivaa suti anapendeza saana na anajua jinsi ya kuzifaa na lini na wapi
 
Hiyo no19 hebu waisome vizuri... Vaa nguo saiz yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…