Jifunze kuhusu hii fursa ya ufugaji kuku (large scale)

Jifunze kuhusu hii fursa ya ufugaji kuku (large scale)

Very, very, very impressive! Itachukua miaka 200 sisi kufikia hapo. Tulikwenda vizuri enzi zile za Mwalimu. Alipoondoka tu, tukarudi nyuma miaka 100! Kama tungeendea vile na viwanda vyetu, pamoja na kuwa vingi vilikuwa "labour-intensive" enzi zile, leo tungekuwa mbali sana. Nadhani tutaendelea kukutana na mambo haya kwenye Supermarkets tu kwa miaka mingine 200 ijayo!
 
Duh sasa ho waarubu kuchinja hao kuku wote kuna dua kweli hapo, dah ila ni project nzuri sana hata sisi tunaweza bhana, ni mipango tu.
 
tuache tutengeneze katiba kwanza hata hayaeausu watanzania hata kidogo
 
Tatizo letu wabongo miradi mingi halafu mwishoni inatushinda yote,mimi naamini mtu kuanza small in a long run haya large scale yanawezekana,focus in one business when you start untill unaimanage vizuri.
 
Back
Top Bottom