Very, very, very impressive! Itachukua miaka 200 sisi kufikia hapo. Tulikwenda vizuri enzi zile za Mwalimu. Alipoondoka tu, tukarudi nyuma miaka 100! Kama tungeendea vile na viwanda vyetu, pamoja na kuwa vingi vilikuwa "labour-intensive" enzi zile, leo tungekuwa mbali sana. Nadhani tutaendelea kukutana na mambo haya kwenye Supermarkets tu kwa miaka mingine 200 ijayo!