greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kuna wateja kadhaa,nishakutana nao wakiuliza juu ya kipindi gani cha mwaka ni kizuri kwa ajili ya wao kuanza ujenzi....
Nitafanya uchambuzi kwa kuzingatia vipindi vinne vya mwaka.
4.MASIKA
2.MAJIRA YA KUCHIPUA
September,October na November.....
1.KIPUPWE
JUNE,JULY na AUGUST
Uki fuata hii ratiba itakusaidia kuingia hasara ya
Nitafanya uchambuzi kwa kuzingatia vipindi vinne vya mwaka.
4.MASIKA
- March,April na May
- Hiki ni kipidni cha mvua kubwa....
- Joto huwa la wastani
- Kiwango cha Unyevu kwenye hewa huwa kikubwa
- Ngumu kuchimba msingi wa jengo.
- Mchanga kusombwa na maji
- matilio kuharibiwa na maji.
- SImenti,Gypsum na mbao kuharibiwa na Unyevu
- Disemba,January na Februari.
- Jua huwa kali kuliko vipindi vingine vyote.
- Kiwango cha unyevu kwenye hewa huwa kikubwa sana,na ikinyesha mvua,huleta fukuto.
- Mashine kupata joto kwa wepesi,kwahyo zitahitaji kupumzika mara kwa mara.
- Wafanyakazi kuchoka kwa uharaka kutokana na kupoteza maji mengi kupitia majasho,lakini pia kufanya kazi kwa shida kutokana na ukali wa jua.
- SImenti kuwahi kukauka na kuweka nyufa,,,,kumwagiwa maji kwa jengo kwa mda unao takiwa kwahitajika.
2.MAJIRA YA KUCHIPUA
September,October na November.....
- Kiwango cha mvua huwa ni cha wastani...
- kuwa makini na utabiri wa hali ya hewa,mda wowote mvua huweza Kunyesha
- Kufika mwezi wa 11,joto huanza kuwa kali....
1.KIPUPWE
JUNE,JULY na AUGUST
- Hiki ndicho kipindi kizuri kwa ujenzi...
- Joto huwa dogo
- Ndiyo kipindi kikavu kuliko vyote
- Kuchimba msingi,mashimo ya vyoo hufaa kufanywa ndani ya huu mda.
- Mafundi hufanya kazi kwa utulivu
- Hakuna hofu ya mvua
Uki fuata hii ratiba itakusaidia kuingia hasara ya
- kuharibikiwa na matilio....
- Sehemu ya jengo ama jengo zima kubomoka
- kucheleweshwa kwa kazi