Jifunze kuimba

joett

Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
11
Reaction score
4
Je, ungepepnda kujifunza kuimba kama pro?

Kama unamaswali kuhusu sauti yako na kuimba, na ungependa nikusaidie, nina CD na video maalum nimetengeneza (tembelea Joett's Music Blog) kwa ajili yako kukusaidia wewe kusawazisha ama kurekebisha linalo kushinda ama linalokupa matatizo kwenye kuimba. Mafunzo ya kuimba ni muhimu sana kama unataka kuwa na uwezo wa juu katika fani hii.

Nime attach e-Book yangu Letters from A Vocal Coach (Barua Kutoka Kwa Mwalimu wa Sauti) ili kukupa msaada endelevu. Tafadhali download ili kupata elimu zaidi juu ya kuimba.

Joett
Vocal Coach
Joett's Music Blog
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…